kayuguyugu
Member
- Oct 30, 2013
- 30
- 30
VP unanishauri nitumie falsafa yako?ujue ss tunaishi ughaibuni na mwanamke huku haguswi ni kosa la jinai wanaume ndio huwa tunaachika anaanza mbelehv ukishndwa kumuacha mkeo kwa usaliti utamuacha kwa sababu gan??
mm swala la kusalitiana sinaga mjadala
Sent using Jamii Forums mobile app
Unachouliza nini sasa kwa mfano mh....? vichwa vya type hii huwa hatupotezi muda navyo kwa ushauri.VP unanishauri nitumie falsafa yako?ujue ss tunaishi ughaibuni na mwanamke huku haguswi ni kosa la jinai wanaume ndio huwa tunaachika anaanza mbele
Achika tu kwa salama wako na wake piaVP unanishauri nitumie falsafa yako?ujue ss tunaishi ughaibuni na mwanamke huku haguswi ni kosa la jinai wanaume ndio huwa tunaachika anaanza mbele
Huko ughaibuni talaka ni marufuku? Amekuambia uachane nae maana ni msalitiVP unanishauri nitumie falsafa yako?ujue ss tunaishi ughaibuni na mwanamke huku haguswi ni kosa la jinai wanaume ndio huwa tunaachika anaanza mbele
Nimfanye nini mke wangu huyu?
Naombeni ushauri kwani nimegunduamke wangu amepata mchepuko kiasi kwamba ameanza kuwa na katabia ka udanganyifu.
Nimemchunguza sana ktk cmu yke nikakuta msg anazoandikiana na mchepuko wake tena ni jamaa wanafanya kazi pamoja kama jana ameniaga kama atatoka week end hii ktk sherehe za kazi yao lkn nimegundua kama anampango wa kukutana na jamaa wala hakuna sherehe zaa kazini.
Niliwahi siku moja kumuuliza vp huyu jamaa naona anakufanya uko busy sana ni kitu gani kinaendelea kati yenu?Lakini alinikatalia nakusema ni just friend kikakazi pia niliwahi kuona msg jamaa aliwamuandikia nikaziforward kwangu lkn yy nikakuta amenipekua ktk cmu yangu na kuzifuta zote na mm sikumuuliza lolote mpaka leo hii nimejifanya lofa.
Naombeni ushauri wadau nimfanye nini mwanamke huyu au huyo bwana?maana namba zake za simu ninazo
Nasubiri ushauri wenu