Nimfanye nini huyu mwanamke???

Muulize je huyo mtu wako unayesema nimefanana nae, nae ana ukimwi kama mimi?
 
Man of the year bado hujui anataka nini?
 
We badala ya kujiongeza unaleta blah blah hapa. Kama hutaki kumgegeda mwambie tu
Unless you are not man of the year
 
Last edited by a moderator:
Mwisho wadada wataishia kusagana tu sasa
eti ulete screenshot...ili iweje?
 
Chakukusaidia nipe namba zake hata mimi nafanana na wewe
 



@ww umeshasema amekuambia umefanana na jamaa yake...then yy ni wa kike na ww ni wa kiume mpk apo bado tuu unatuuliza tukupe ushaur tuuu....jiongeze bhass@hata hyo screen shot haina haja ya kuiweka apa hatuitaji##
 
hyo screen shot bado tu hujaamua ku atach
 

Naona umeamua kunitangaza
 
Huyu jamaaa sio mzima itakuwa na screenshots za nn sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…