Nimfanye nini huyu dada jamani?

jaman poleh sna la msingi chukua maamuzi magum ya kutimua dada wa salun... Yu wil safa for a moment haina tabu cuz wen yo in biznes risks are inevitable...
 

Leo kwa kua natoka kazini mapema nitakachofanya ni kuanza kutafuta wengine.
Nikiprint matangazo yangu nikabandika uswahili ninaamini hadi j4 nitapata wa kuhojiana nao kwa kufanya kazi.
Nawaambia wasije kazini kuanzia jumatatu hadi nitakapowajulisha
 
Wa uswazi si ndio wale wale jamani au huko kwenu ni tofauti na huku kwetu.
 
Timua kazi hao wa saloon na tafuta wengine!
 
pole sana dada na pia uwashukuru sana hao madereva tax
siku zote huwezi kukaa na adui yako hata cku moja
jipange kwa kutafuta wafanyakazi wengine kisha hao fukuza
 

yafukuye kazi hayo majununi
 
Wa uswazi si ndio wale wale jamani au huko kwenu ni tofauti na huku kwetu.

Ni kweli JB,
lakini kupata wafanyakazi wazuri inahitaji muda na gharama...
Kwa sasa sina muda wa kushughulikia hilo kikamilifu. Nachukua mmoja uswazi mwingine VETA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…