Ana akili yake huyo usimchukulie Poa !
Kuna jamaa ilianzaga kama hivyo akasema anamsaidia kisha akajikuta anamsaidia hadi kumsugua kwa miaka mingi kila akitaka kumuacha anashindwa ,
Jamaa akaoa mwanamke mwingine, lakini haikusaidia akawa anazani anamsaidia kumbe mwanamke ana jambo lake kichwani, akamroga mpaka jamaa akienda kwa mkewe haisimami.
kukata hiyo Habari ndoa ya jamaa ilishavunjika na kubaki historia sababu ilianza kama hiyo unayoleta wewe.
Buyer beware!
Labda kama hujaoa na uwe umempenda lakini kama unazani si wa hadhi yako kuwa makini yaweza kukugarimu mno kwenye maisha yako!