Kaka MUSSA ALLAN Naimani na Lowasa ikitokea ya kutokea akapoteza mie ndio mwisho wangu kupiga kura....Nafunga sasa kwa maombi hadi tar 26/10.Naimami Mungu atasikia sala zangu
umefanya uamuzi wa busara mno ! baada ya uchaguzi ile ofisi ndogo lumumba tutaigeuza MACHINGA COMPLEX , ccm haijawahi kumiliki nyumba mji huu , ilipora nyumba za wananchi tu .