baba junior
Senior Member
- Sep 21, 2012
- 143
- 30
kati ya misamìati iliyo maarufu hapa jamvini ni hii;
-kugegeda
-napita tu
-mkuu nk
ongezea kama vp!
nawasilisha!
wewe ni ME au KE?
Daddy hivi mtu akijiita "baba fulani" huwa ni ME au KE??????
hahaha atakua ni ME....
Hapo mi nilikua naongezea msamiati sweetheart!!! maana hako kaswali na kenyewe kameshika sana hatamu hapa JF.