BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,840
Hizo file ni Audio au programs ila jaribu kwenda kwenye drive c then old window angalia humo kama utafanikiwa.
Hizo operating systems siku zote ni vyema kwenda juu kuliko kushuka chini. Ngoja waje wajuzi zaidi !
Window 10 ya ukwel saana labda kama ni mtu wa pc-games tu
partition moja Chief-Mkwawa
kama ni moja kosa ni lako wewe, cheki windows old
pia nenda local disk zote then nenda user chagua jina uliloeka wakati unaeka windows humo utakuta personal files
windows 10 ina direct x 12, inaongeza performance ya games hadi asilimia 20 na kuendelea.
windows 10 ina direct x 12, inaongeza performance ya games hadi asilimia 20 na kuendelea.
Njia rahisi ni kutafuta external drives,washa computer ikiwa na windows 10 copy files zako then switch to windows 7 zihamishie..,kama ni lazima uhamishe bila external drive kwenye windows 10 ondoa security kama username and password kabla hujaanza kuaccess windows.old ukiwa kwenye windows 7 au access windows.old then ikikuuliza any authentication tumia za windows 10 sio 7