Nimewaza hili🤔

Bwashee wazo ni zuri sana. Mikakati ya utekelezaji ndio inatakiwa.
Hapa tunaweza weka mikakati , mfano mimi kwenye kilimo na ufugaji nimekua nikisaidia hapa , kwa sababu ni kitu na ujuzi nacho , nimetoa vibarua wa kutwa ,walinzi , na maafisa hasa kwenye viwanda vya sukari Tanzania.

Kilichopo ni mtu atoe connection hata moja tu kwa kile anacho kijua zaidi na kama ana nafasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…