Nimewaza hili🤔

Endelea kuwa na moyo wa imani mkuu tuniani tunapita tu.
 
Kabisa mkuu, tumetoka mbali sana
 
Hongera sana kwa wazo zuri

Watu wa JF ndo hawa hawa tulionao humu mitaani na katika maisha changamoto zipo hazikwepeki so cha muhimu ukipata nafasi na una uwezo wa kumpush mtu unampush tu na yeye akapate ridhiki at least apate unafuu kwenye maisha yake

JF niliuchukuliaga ni mtandao wa kawaida lakini nimegundua huu ni zaidi ya mtandao na kikubwa ni kuheshimu kila mtu, tupigane banters lakini tusivunjiane heshima kwani hatujui kesho itakuwaje

Binafsi na mimi mtandao huu umeplay role kubwa sana kwangu mpaka hapa nilipofikia, huu mtandao una watu wema aisee na kwa kawaida hivi hauwezi kuwadhania kabisa yaani 😀 ningeweza kumtag hapa kama angeniruhusu, huyo mtu ni balaa aisee watu wa aina yake wapo wachache sana duniani

Watu wazito wapo wengi humu na ambao wana moyo wa kusaidia wengine so nahisi watalipokea vyema wazo lako na JF itakuwa ya mfano
 
Bwashee nakuelewa mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…