Nimewaza hili🤔

Sjui nani anipe dili
Tena iwe moja tu yenye akili,
Ile ya kulala maskini na kuamka tajiri
nipeni dili Bwashee….
 
Kiukwlei nimefurahii sana mwanzilishi wa hii mada , maana wengine ni wanafunzii humu tunatamani sana mtupe muongozo na connection za kazii , pesa tutatumia maboom yetu vizurii .
Naomba watu waliosomea uchumi au wa taasisi mbalimbali mtuone wadogo zenu wa mavyuonii ! Mm ni finalist for now!.
 
NSSF hapo nitakudanganya mkuu, labda kwenye pombe zangu nilikutana na wa huko nitakushtua
 
Kwa uzoefu wangu mpaka Sasa kwenye hii Dunia, Walevi ni miongoni mwa watu wenye moyo wa kusaidia,
Ule msaada wa ukweli ukweli
Yeah kwa madogo waliopo serious unawapa mchngo , siku ukifulia hauwezi kosa hela ya bia😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…