Nimewamiss sana wote!

Arushaone

Platinum Member
Joined
Mar 31, 2012
Posts
15,237
Reaction score
13,566
Ninawapenda wote. Si-mention yeyote, I missing y'all.
 
heeee shem Arushaone sa ndo nini kutoniambia kuwa kuna kamtoto huko wakati
niko brazilika namalizia maumivu ya waafrika kutoonekana tena worldcapulika?
hata kunibeep shem uniambie kuwa kashangazi kamekuja duniani.
namna gani bhana ngoja nimalizie nngwe ya kesho ya fainalika nikija tz
napitia kili kabisaaaa kukaona kashangazi
 
Last edited by a moderator:
Hawajambo wote huko ulikokuwa?
Mkeo naye haonekani huku.
 

Usijali shem hata faini nitalipa tu haliharibiki nuno.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…