Nimewaletea vya shamba....

Karibu sana MzeeWashamba karibu Azam Cola!

Mkuu uko tofauti na jina lako, nilifkiri Katavi kaniuza nimezwe na Chatu duuh kumbe ni tofauti kabisa!!!
Azam cola?Togwa hapa mjini hazipatikani??
Vp Katavi, amekupatia mzigo wako??mcheck aisee nimemuachia kama gunia 3 iv za mpunga na 1 bunch of banana!!
thanks mkuu for welcoming a country man!!i&i man
 
shamba gani lakini isije ikawa yale waliyojimilikisha huko kibaigwa
 
Ahahahaah!! Mzigo umeibiwa mzeewashamba inabidi umletee chatu dume mzigo mwingine...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…