wewe kiazi mkubwa unafikiri umekuja kutafuta marafiki hapa?[/COLOR] Mkuu kwenye red hapo umechemsha big time,watu humu ndani tupo ambao tunajuana kwa majina,sura,mpaka mitaa tunayoishi na tumekutana humu JF.
Ushauri wa bure: Jitahidi kujali matatizo ya wenzio kama wao watakavyojali ya kwako,muda si muda utajenga urafiki wa karibu na watu wa MMU na si ajabu siku moja wakaja kukutoa kwenye lindi la matatizo ambalo hata nduguzo hawana uwezo nalo.Usidharau MMU/JF kamwe,tulia muda si muda utaona faida yake,kuchimba mkwara hakutakusaidia kamwe,na si katika MMU tu lakini hata katika maisha yako nje ya JF.
senene? mmmmhhh! kwetu zina maana kubwa! waijua weye?Bishanga karibu senene, nimependa sana comment yako
Mh bado tu hukati tamaawewe kiazi mkubwa unafikiri umekuja kutafuta marafiki hapa?
Mbona uko hivo jamani wewe k? kwani una ugomvi na mtoto wa watu? mpe moyo tu ndio kaomba kama huwezi si upite tu?wewe kiazi mkubwa unafikiri umekuja kutafuta marafiki hapa?
Yaaani naona hajakata bado tamaa huyuMh bado tu hukati tamaa
Ni kweli nahitaji muda wa kutafakari maisha yangu upyaKaa kwanza utulie na kutafakari kama kuna mahali ulikosea,jaribu kuangalia pia uliwahi mkasirisha mara ngapi na sababu,baada ya hapo jaribu kurekebisha kasoro hizo kabla hujaanza uhusiano mwingine.
Majaribu mengine haya ni kama binadamu mwenzetu anayalazimisha vilepole sana Dinna dear, hilo ni jaribu yakupasa ulishinde, jipe moyo Mungu anakuwazia yaliyomema, furahi kwa kuwa yatokea mapema maana yangetokea wakati uhusiano wenu umefika mbali hali ungekuwa mbaya zaidi. Muombe mungu akupe furaha na amani ya moyo
Ni kweli nahitaji muda wa kutafakari maisha yangu upya
Huwezi amini huu ushauri wenu umenipa amani ndani ya moyo, ahsanteniMpendwa ni vizuri kupata ushauri kwa wa2, bt inaonekana Mungu anampago mwema nawe. Tumeambiwa tushukuru kwa kila jambo. Mshukuru Mungu kwa hilo kisha mwombe akupe aliyekuchagulia. hutopata tena maumivu:mod:
naihitaji hiyo sala kuliko kitu chochote, usije sema unanitakasa tu kama kule musoma
weka upako kwenye PM
una mambo weye!Naijua maana yke ndio maana nimekukaribisha
sijambo, niambie mpenzi
Hahahahaha nashukuru si mind hizo biology hata huyu hatukula tundi, maybe ndio maana amesepa au waonaje? but makubaliano yalikuwa mpaka ndoa, nashukuru sana asprin kwa kweli umenipa ushauri mzuri nitahakikisha nakuwa mwenye furaha masaa yoteMaisha ni mafupi sana, unahitaji kuyafurahia kadiri uwezavyo
Maisha lazima yasonge mbele, ukisita utakufa ukiwa unajuta,
Wanadamu wenye upendo wako wengi,
Wanadamu wenye kujali wapo wengi...
Mungu ametuumba na kutupa usahaulifu.
Sahau yaliyopita, songa mbele............
Maisha lazima yasonge mbele
Songa mbele, songa mbele...............songa mbele!
Baioloji haziishi!