Nimeumia sana

Nashukuru mkuu

am better here
Mkuu naelewaa... Naelewa ,hiii kitu kwa mwanamke huwa inaumiza sana ,ndio maana hata walioko ndoan, wanapokua hawaridhishw wanachepuka..

Sasa huyo nikapewa mashine lkn hajafikishwa...sembuse wee uloandaliwa kimwil,kiakili,kiisia alafu mtu anakunyima mashine??

Yaan nisawa unanjaa alafu unawekewa chakula,ghafla unapokonywa.

Bahat yake ,hauna mchepuko. Ila kama kuna kajamaa kalikua kanakufatilia leo hii kangekukula mzigo
 
Dah yaan mtu unahisi kuweuka lkn anadhani kamikomesha maana anatoa mianya ya kuchepuka....
am better here
 
Asante mkuu ni boyfriend wangu
Kabla ya kukupa pole ningependa kujua, je huyo ni mume? Kama mume aisee pole sana, ila kama sio mume basi usirudie tena kuandamana na jinsia ya kiume kugegedana ovyoo!! Olewa upate mgegedo anytyme

am better here
 
duh ye mwanaume ndio anaogopa mimba? huo mchicha pori
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona hivyo jua una mbadala tena huo mbadala ni superior kukuzidi wewe.
 
Dah yaan mtu unahisi kuweuka lkn anadhani kamikomesha maana anatoa mianya ya kuchepuka....

am better here
Ohoooo nilikuja jifunza ivi ,kamwe usimsuse au kumnunia mwanamke...uajikuta unapigishwa nyeto miezi kadhaaa

Ukimsusa, watu wanakula tu fresh hainaga makombo wala alama !!
 
Acheni kututega basi sisi ambao bado searching
.... Amegomea kukupa unakaanalo moyoni sio kuja kutunyanyasa huku jf, kuna watu hatujaiona papuchi mwaka wa tatu huu na bado tunadunda kama kawa
Hahaha mkuu me kimeniuma sana icho kitendo cha kuniandaa afu mtu anavaa anaondoka jaman ata jambazi hawezi kukufanyia ivi

am better here
 
Mkuu acha basi maana unamwagia petrol kwenye moto loooh....
am better here
 
Uzi uhamishwe huu uende jukwaa la wakubwa, una mambo mazito watoto watapofoka macho
Hapana uwe hapahapa maana wengine hatupo jukwaa pendwa la wakubwa

am better here
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…