Yaani we kiazi kweli wenzio tukiona mazingiria sio mazuri au unahofu ya kukataliwa au hauko katika mood tunaombaga number hakuna kitu chepesi km kuomba number.
Samahani mrembo nimekuelewa japo tuwe marafiki Naomba usinifikirie vibaya tunaweza kubadilishana number akikataa mpe hata yako hapo uwezi kujilaumu maana nafsi inasema lkn nimejaribu.