Nimeulizwa................!

Mwanafikra huru

Senior Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
141
Reaction score
18
Hivi ni chama gani cha siasa Tanzania kinaungwa mkono na wasomi wengi? Na kwa nini?

A .CUF

B. CCM

C. CHADEMA

E.UDP

F.NSSR MAGEUZI
 
C

C

C

C

C

C

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Unauliza makalio ya kuku wkt upepo unapita? Hapo jibu ni c
 
nataka kujibu lakini NSSR Mageuzi ndio chama gani tena? Je ni chama kipya? Na imepata usajili Tanzania lini?

Otherwise jibu unalo mwenyewe C
 
Kwani wasomi hapa inamaanisha nini?waliokwishamaliza na madigrii yao,kina shivji,au vijana walioko vyuoni?nk
 
msomi gani kama mwenyekiti wa cdm na div 0 yake ya form 6
 
kipengele hicho kingewekwa kwenye sensa ingesaidia bila utata,pale kwenye elimu ingefuatiwa na chama , but kwa kujibu kimbinumbinu kila m2 atapigia kura chama lake. A na B yote C
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…