Nimeugua ugonjwa wa zinaa ambao hauponi na aliyenipa yuko fresh

Mr Chromium

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
2,088
2,705
Hatari siku kadhaa mwez 8 nilimla mtoto mmoja hivi!!
Sasa baada ya hapo nikawa nasikia kitu kinatekenya kwenye dudu!!
Nikaenda nikapima hawakuona kitu

Hali ikaendelea mpaka mwez wa9!! Ambapo nikaanza kuwashwa ndani na baadae discharge
Nikaenda hospitali treatment wiki mbili? Nafuu tena hali ikarudi
Nikaenda tena treatment hali ikarudi
Nikaenda tena
Nikaenda tena

Yaani hadi saa hizi bado niko na shida sijui nimepata vidudu gani havisikii dawa wala sindano!!

Jamani tutumieni condom hata kama mmepima HIV!!
Nawaza nikipona nisijefanya mapenzi tena
 
Hatar cku kadhaa mwez 8 nilimla mtoto mmoja ivi !!
Sasa baada ya hapo nikawa nasikia kitu kinatekenya kwene dudu!!
Nikaenda nikapima hawakuona kitu

Hali ikaendelea mpaka mwez wa9 !! Ambapo nikaanza kuwashwa ndan n baadae discharge
Nikaenda hosptal treatment wiki mbili? Nafuu tena hali ikarud
Nikaenda tena treatment hali ikarud
Nikaenda tena
Nikaenda tena

Yaan ad saa izi bado niko na shida cjui nimepata vidudu gan avisikii dawa wala sindano!!

Jaman tutumien condom hata kama mmepima HIV!!
nawaz nikipona nisije fanya mapenzi tena
Unapata shida zipi kutokana na huyo tatizo weka wazi mzee.
 
Hatar cku kadhaa mwez 8 nilimla mtoto mmoja ivi !!
Sasa baada ya hapo nikawa nasikia kitu kinatekenya kwene dudu!!
Nikaenda nikapima hawakuona kitu

Hali ikaendelea mpaka mwez wa9 !! Ambapo nikaanza kuwashwa ndan n baadae discharge
Nikaenda hosptal treatment wiki mbili? Nafuu tena hali ikarud
Nikaenda tena treatment hali ikarud
Nikaenda tena
Nikaenda tena

Yaan ad saa izi bado niko na shida cjui nimepata vidudu gan avisikii dawa wala sindano!!

Jaman tutumien condom hata kama mmepima HIV!!
nawaz nikipona nisije fanya mapenzi tena
Kapigwe penaduu nane utakuwa fresh kabisa
 
Nenda hospitali ya serikali achana ni private
 
Kuandika hujui unajua uzinzi. Mshahara wa dhambi ni mauti. Pambana na hali yako
 
Hatar cku kadhaa mwez 8 nilimla mtoto mmoja ivi !!
Sasa baada ya hapo nikawa nasikia kitu kinatekenya kwene dudu!!
Nikaenda nikapima hawakuona kitu

Hali ikaendelea mpaka mwez wa9 !! Ambapo nikaanza kuwashwa ndan n baadae discharge
Nikaenda hosptal treatment wiki mbili? Nafuu tena hali ikarud
Nikaenda tena treatment hali ikarud
Nikaenda tena
Nikaenda tena

Yaan ad saa izi bado niko na shida cjui nimepata vidudu gan avisikii dawa wala sindano!!

Jaman tutumien condom hata kama mmepima HIV!!
nawaz nikipona nisije fanya mapenzi tena

usiache kwenda....nenda tena
 
Back
Top Bottom