Nimeugua ugonjwa wa zinaa ambao hauponi na aliyenipa yuko fresh

Hatari siku kadhaa mwez 8 nilimla mtoto mmoja hivi!!
Sasa baada ya hapo nikawa nasikia kitu kinatekenya kwenye dudu!!
Nikaenda nikapima hawakuona kitu

Hali ikaendelea mpaka mwez wa9!! Ambapo nikaanza kuwashwa ndani na baadae discharge
Nikaenda hospitali treatment wiki mbili? Nafuu tena hali ikarudi
Nikaenda tena treatment hali ikarudi
Nikaenda tena
Nikaenda tena

Yaani hadi saa hizi bado niko na shida sijui nimepata vidudu gani havisikii dawa wala sindano!!

Jamani tutumieni condom hata kama mmepima HIV!!
Nawaza nikipona nisijefanya mapenzi tena
Mkuu unayo maradhi ya gono sugu lisilo sikia dawa za Hospitali. Nitafute mimi kwa wakati wako ili nipate kukutibia maradhi yako upate kupona.
 
Nishawahi pata hii kitu nikiwa secondary,
Nikafanya siri nikawa napiga antibiotics kimya kimya na sikupona...
Nikahamia kwenye sindano,pena du(sina hakika na spelling)
Ebana hizi zinauma hadi unapewa kitanda upumzike,siwez sahau na wala sikupona...

Mwisho viakiba vikaisha na hali inazidi kuwa mbaya...

Nikawaza ni mface mzee nikaona patachimbika..
Final decision ni "bi maza".ilikua ngumu ila nilimweleza.

Mama ni mama aisee,akuongea chochote zaidi ya kuniangalia kwa huruma,akaingia chumbani akatoka amejitupia kanga yake...
"Ambition twende".

Nilidungwa hayo sijui ma powerself week nzima..

Nikapona kabisa mpaka leo.

Mkuu nenda hospital zinazoeleweka fanya vipimo upate tiba sahihi.

Dalilizake xikoje chief?
 
Pole mkuu nenda hospital nyingine, usichoke wala kuona aibu, matabibu washaona vitu vya kila aina
 
Back
Top Bottom