mundu mkongw
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 202
- 88
Piga simu ili upate kujua Siku ya usaili
Mpigie simu aliyetuma sms
Simple tu angalia tangazo la kazi la moi na la muhimbili mwaka huu kama hio post ipo wapi,ila hata muhimbili walitangaza hio post mwaka huu cjui ilikua mwez wa ngap sikumbuki,ukigoogle yatakuja.all the best.
Mimi pia nilitumiwa na jana ijumaa tumefanya interview kwa koz Ya assistance Nursing officer,,angalia tu lini msg imeandikwa uende ni kwel huwa wanatuma tu msg
leo nimetumiwa sms kuitwa kwenye usaili muhimbili kada ya assistant supplies officers ila sikumbuki niliomba lini kwani nimeshaomba mara nyingi muhimbili.nakumbuka mara ya mwisho niliomba moi ila sms inaonyesha ni muhimbili
Mkuu Moi walishanya interview mwezi uliopita, labda hiyo yako itakuwa ni Muhimbili kweli#