Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,232
- 6,479
Kaingiaje sasaItakuwa Funza
Pole sana. Kuna nzi fulani wakubwa sana, wenye rangi ya kahawia...
Huyo nzi hana saa maalum ya kushambulia. Huyo kiwavi akiisha zaliwa anajificha hapo kwenye ulowevu kimya akingojea saa ya mashan=mbulizi. Hivyo, wewe hutajua saa ameshambulia. Yawezekana umeikalia hiyo nguo kwa ghafla tu naye akabamba.Asante kwa ufafanuzi wako mkuu hata mm ilishantokea lkn kitambio sana miaka ys 90 huko secondary. Asikuwmbie mtu ilinitesa sana kwa mawazo na nilifanya siri nikapona kibingwa hakuna niliemwambia kwani nilihisi ni uchafu wa kiwango cha juu sana.
Sh'kamoo muungwana mwenzangu😊huyu ni muuaji wa mdomo
Umedecompose. Ulienda Kigoma,makete au mufindi hivi karibuni?Kaingiaje sasa
Pole sana. Kuna nzi fulani wakubwa sana, wenye rangi ya kahawia. Hupenda kuruka kwa kelele sana yaani sauti kubwa tu. Akitua mahali saa hiyo hiyo hutaga kiwavi hai. Huyu kiwavi ni sharp sana kujichimbia chini ya ngozi haswa kama akikuta kuna ulowevu wa maji maji. Yaweza kuwa maji maji ya jasho, mkojo au nguo ambayo haijakauka vyema na kupigwa pasi...
Asante sana daktari, bado sijasafisha. Nitapata shida gani?Pole sana. Kuna nzi fulani wakubwa sana, wenye rangi ya kahawia. Hupenda kuruka kwa kelele sana yaani sauti kubwa tu. Akitua mahali saa hiyo hiyo hutaga kiwavi hai. Huyu kiwavi ni sharp sana kujichimbia chini ya ngozi haswa kama akikuta kuna ulowevu wa maji maji. Yaweza kuwa maji maji ya jasho, mkojo au nguo ambayo haijakauka vyema na kupigwa pasi..
Pole ndugu yanguYaani nimeogopa hadi mwili umesisimka
Naona kidonda kinaanza kukauka, nikakitumbue tena niioshe na hiyo iodine hospitalini?Huyo nzi hana saa maalum ya kushambulia. Huyo kiwavi akiisha zaliwa anajificha hapo kwenye ulowevu kimya akingojea saa ya mashan=mbulizi. Hivyo, wewe hutajua saa ameshambulia. Yawezekana umeikalia hiyo nguo kwa ghafla tu naye akabamba.
Si lazima iwe ni kwako, hata kwenye gari, hospital, church etc.
Hapana, alafu mwili unauma muda huu japo kidonda kinakauka.Umedecompose. Ulienda Kigoma,makete au mufindi hivi karibuni?
Sawa,..kunywa basi phenobarbitone kupunguza maumivu ya mwili.Punguzeni bhanaahh
PoaSawa,..kunywa basi phenobarbitone kupunguza maumivu ya mwili.