Nimetokea mkoa mpya Katavi nipo Dar!

Nimetokea mkoa mpya Katavi nipo Dar!

Akurutogo

Senior Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
199
Reaction score
103
Jamani nipo dar nastajabu magari yalivyo mengi leo huku mjini kunakoitwa posta, hii ni kawaida au leo imezidi? Kuna usafiri gani mbadala wa dalala
 
bodaboda ndo mpango mpango. ila chunga sana usiingizwe mjini.
 
Watafute wajanja wa Manzese watakuonyesha njia za kupita.Vumilia foleni na joto kidogo
 
Jamani nipo dar nastajabu magari yalivyo mengi leo huku mjini kunakoitwa posta, hii ni kawaida au leo imezidi? Kuna usafiri gani mbadala wa dalala

Nenda pale Magogoni jitambulishe kuwa wewe ni mjukuu wa mkulima watakutafutia namna kwa leo.
 
Tutenzi taa pamuzi uu swensi a yenyiii

Utachisimaa mwanwitu wewe monsi or mwanachii????
 
Back
Top Bottom