Nimetoka ukweni Kigoma, ila kama hii ndiyo aina ya wazee acha wabaki na watoto wao!

Huu ndio uchoko.. kwani mimi sikubebwa mgongoni na mama yangu? Asingembeba sasa
Mila na desturi zetu zina changamoto nyingi mno, ukihoji kihivyo utajikuta unakuwa wa kulumikia kila kitu...

Dunia inam-favour mwanamke sanaaaa, imagine ukimuoa tu, unatakiwa umlishe, umvishe, umpe pesa ya kusuka, mafuta ya kupaka sijui hereni,bangili n.k

Wakati huo huo unatakiwa kumridhisha kitandani, asiporidhika analiwa na mwingine/wengine hata kama umemlipia milioni 5.

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
*kulalamikia

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Kwa kweli wazee wengi wa kigoma hasa wale wenye asili ya burundi wako hivyo,wanajivicha ndani ya kivuli cha waha.Ila wanawaharibia sana waha kwakuwafanya waonekane sio watu sahihi.Pia kuna waha wamerithi tabia hizo kwa kuwafanya watoto wa kike mtaji. Nimeishi huku Mama anaweza andaa fumanizi kwa binti yake na wakadai ulipe milion 2 kama wanajua huyu ni mtumishi. Wakijua unahera upuuzi mtupu. Hadi dogo anaandaa fumanizi na baba yake wamfumanie dada. This is kigoma welcome
Kuna sehemu panaitwa Nguruka nimeshafika jamaa yangu alipigwa laki 8 kwa mtindo huo.
 
Hakika natamani siku zingerudi nyuma nifanye marekebisho ya maamuzi yangu...

Nimefika zangu home usiku huu nakuta wife (ambaye bado sijafunga naye ndoa, japo nimeshakwenda ukweni kujisalimisha)

Nimeingia ghafla nimemkuta shemeji yenu akifanya maajabu,sasa sijui ni ushirikina???
 
Maajabu gani? Angalia usije ukawa na hisia mbaya tu
 
Hakika natamani siku zingerudi nyuma nifanye marekebisho ya maamuzi yangu...

Nimefika zangu home usiku huu nakuta wife (ambaye bado sijafunga naye ndoa, japo nimeshakwenda ukweni kujisalimisha)

Nimeingia ghafla nimemkuta shemeji yenu akifanya maajabu,sasa sijui ni ushirikina???
Fafanua, kama wa kigoma wanaamini sana dawa za waganga. Nilikaa na muha mmoja msomi kabisa anafanya kazi benk anatembea na dawa ya kuzuia kuibiwa hela, na nyingine alichanjia akipigwa panga au kisu kisiingie, ajabu alikuja kuibiwa hela njombe stand karibu nanl kanisa katoliki
 
😅😅😅
 
Yaani we acha tu...
 
Kosa ni kwenda wewe ilihali ulisha chafua mtoto wao, Baba wa binti kahesabu kama ni dharau umeonyesha japo hajakuambia kwamba kosa lako ni wewe kwenda.

Hukutakiwa kwenda wewe cha kufanya ungetuma wazee wenye hekima na busara wanao karibiana na umri wake au wanao mzidi umri huyo baba wa binti wakaongee kiutu uzima.

Solution

Huyo mwanamke anakupenda mpende mwanamke wako na huyo ndiye mkeo, Kuhusu baba mzazi watume wazee wenzake wakayajenga, na kamwe usihesabu makosa ya baba yake.

Kumbuka " Wazee wanamsemo wao kua mzazi hakosei" japo wanajua mzazi anakosea ila ndiyo hivyo tunaishi humo humo.
 
Jambo dogo sana hili mkuu kama ni mtu wa familia huwezi muacha mtoto akalelewe malezi mengine na mama au baba mwingine na huwezi muacha mkeo kizembe hivyo, pesa inasahaulika lipa Mali hiyo taratibu taratibu malizana na mzee kisha kimbilieni kwa Yesu mpate amani ya kweli lakini usiache familia yako kisa hasira za mzee wanadamu tumepishana kifiķra a real man dies for his family na sio kuwa Kigoma ni mbali kuoa huko watu wana oa U.S.A na Asia wewe unahofu Kigoma hapo tu ni karibu sana na ndoa ni mpango wa Mungu. Na katika hili huwezi kukwepa ubaya wa hiyo familia kwa kuikimbia kwani tayari kwa kuzaa na binti yao umeisha unganisha undugu nao huwezi waepuka kama ni ubaya utafanyiwa either umuache binti yao au usimuache kama wamekusudia ubaya huwezi epuka kikubwa komaa na familia yako na malizana na mzee na usisahau kukimbilia kwa Yesu.
 
Hakika natamani siku zingerudi nyuma nifanye marekebisho ya maamuzi yangu...

Nimefika zangu home usiku huu nakuta wife (ambaye bado sijafunga naye ndoa, japo nimeshakwenda ukweni kujisalimisha)

Nimeingia ghafla nimemkuta shemeji yenu akifanya maajabu,sasa sijui ni ushirikina???
Hapo nimepata jambo moja la msingi kuwa vijana wengi wanaingia kwenye mahusiano bila kujuana vizuri!!Mume hamfahamu vizuri mke na mke naye hamfahamu vizuri mume wake na ndiyo chanzo kikuu cha matatizo kwenye ndoa!!!Ninaposema kujuana au kufahamiana vizuri ninamaanisha kuujua vyema utu halisi wa mwenzako,anapendelea nini,utamaduni wake nakadhalika!Ngoja nikupe kisa kimoja,kaka yangu ameoa mtusi!Enzi zile tunaambiwa tuanzishe utamaduni "mpya" wa kujifukiza alimkuta kaka anajifukiza!Ghafla alikimbia na kushtaki kanisani kuwa amemkuta mumewe akifanya "uchawi". Mimi sikumlaumu kwa hilo kwa sababu mbele ya macho yake kujifukiza ilikuwa ni uchawi!Laiti kama angeujua utamaduni wetu asingeshtuka!!
 
Aisee mimi sio muumini sana wa Generalization. Sasa hapo kosa la mke ni lipi hadi upange kumtosa. Haya mambo ya kuishi kuogopa binadamu wenzako watasema nini au watafanya nini yamepitwa na wakati.

Kwa hiyo unamuacha mke mzuri ambae baba ake mchizi boti halafu unaenda kuoa mdangaji ambae baba ake mchungaji.

Mbona bangi ninayovuta mimi haiko hivi?!
Unaita mkwe mchizi boti?!🤣🤣
 
Mzee wa watu hana makosa, wewe ndiye umepuyanga kwa kudhani kuwa unawamudu kwa kukaa na binti yao kumzalisha kisha kwenda kwao kwa kiburi. Unaenda kulipa mahari na bro? Huna wazee wala shangazi? Trna huyo mzee umemfanyia dharau sana.

Halafu kwani hujui mahari za waha? Mimi nilimzalisha binti wa kiha ingawa nilikuwa kwenye process. Nakumbuka nilienda kulipa mahari nikiwa tayari nina details zote kutoka kwa wazee wake na ndugu. Nilipeleka 3M casha ikijumuisha vikorombwezo vyote. Waha ukienda kulipa mahari kwao hadi bajeti ya vyakula watakavyokula ni juu yako.

Ila nashukuru binti yao ni mzuri sana, mtamu sana figa lake sasa na uzuri ana nidhamu sana. Nimekaa naye muda wa kutosha kabla sijaamua jumla na hajawahi kuonyesha dharau kwangu.

Nenda kakamilishe uliyoagizwa kwa dharau ulizoonyesha ama uanze kupata mikosi na kama huwajui waha basi nenda kigoma uone mtu anatumiwa radi inamfuata hata akiwa chini ya meza.
🤣 😀
 
Back
Top Bottom