Anko ushione hivi, kwansha mi shina kosha lolote, jamaa nilikuwa namtania tu, shi ndio akaansha kunishukuma makonde bila shababu sha mshingi. Naomba chama na sheykali shiweke kipengele katika katiba kushuia ukatili huu. Polishi nao eti wananisheka wanashema hawanipi mpshlee, nijitibu mwenyewe shawa kwey hiyo?
KONDA: Denti achieni viti sogeeni nyuma, halafu madenti wa siku hizi usharobaro tu mnaishia kupata divishen tano, enzi zetu mtu ukitoka shule unakuwa na kitu kichwani
DENTI: Acha matusi tunasoma na tunaelewa sana
KONDA:Kama unaelewa nambie 3x3 ngapi?
DENTI: 33
KONDA: Huna lolote umebahatisha au atakuwa kakutajia mwenzio huko nyuma