Nimetishwa leo.

ha ha ha na wewe mtishe;maisha yako nje ya jf yakoje?
 
Wala sijala hela ya mtu na ukame huu.
Sio kweli katoto kazuri, hakuna mwanaume wa kukutisha ikiwa bado haujamlia visenti vyake, la sivyo huyo ni mwanamke mwenzio utakua umemuibia mume au mpenzi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…