Aurelio_CSM
Member
- Oct 14, 2014
- 57
- 22
nimekosea sio software ila ni website ambayo ni kama e-library ambamo kuna e-books na vitu vingine vingi
bado cjaiweka online but soon ntanunua domain na mtaionainaitwaje. .
AsanteHongera mwenzetu
Nimepata domain soon ntaweka link yake muweze kuiona ila still i need the support from u guys. THANKS FOR THE LIKES AND APPRECIATIONS MAY THE ALMIGHTY LORD BLESS YOU ALL. AMENkidato cha tatu kufanya haya makubwa hvy naomba nikuweke kwenye TZ record BOOK
Nimewatumia email bado nasubiri nione watanijibu vipi. ASANTE SANAThis is very impressive
Form 3 tayari unaandika mistari,safi sana
Iweke online tukupe ushauri na pia kama mmoja wa wachangiaji hapo juu alivyosema,nenda COSTECH pale maeneo ya sayansi uangalie namna unavyoweza kutambulika na pengine watakupa Msaada zaidi wa kujifunza na kuendeleza project ikakutoa kimaisha, maana wewe ni wa pekee aisee
Nimewatumia email nasubiri majibu. ASANTE SANAThis is very impressive