Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 955
- 1,671
Ukitapeliwa kama mleta mada utamkumbuka shemeji yetu na kuimba wimbo wa case, missing uAah mbususu bwerere tu hiz sio hata za kuumiza kichwa
AkachimbaNina omba msamaha kwa uongozi wa CHAPUTA kwa hili kosa. Jana nimeingia kwenye app ya tagged nikapata manzi na tukaelewana bei, Sasa leo nikamcheki aje kasema nimtumie nauli, nikatuma akasema anakuja mimi nikaenda lipia lodge nimesubiri nikaona kimya nikamvutia waya.
Drama zikaanza mara ooh simu yangu inazima ya mkopo nitumie hela nilipie ila niwasiliane na ww nikiwa nakuja, machale yakagonga nikamwambia mpe boda yoyote namba angu anicall atakuleta nilipo manzi akachimba.
Dadeki lodge nimelipia pesa imeenda bure. Nilichojifunza wakuu UZINZI NI GHARAMA SANA NA TUJIFUNZE KU CONTROL HIKI KICHWA CHA CHINI.
Taratibu tutaanza kuunganisha dots.Licha ya gharama za uzinzi ila hapo kosa ni wewe kutokua na maarifa sahihi.
Ungeweza kupata manzi ya kufanya nae zinaa at zero (0) risk ya kupoteza shilling 5 yako.
Siku nyingine jifunze au uliza tuliokutangulia😂
Hutakaa uwezeTaratibu tutaanza kuunganisha dots.
Unachukuaje chumba kabla mali haijafika?Kuna mwanachama mwenzako alipiga nyeto lodge na sabuni za ayuuuu 😂😂😂😂😂😂
Ety wanajikuta wanaweza kuiandaa future hawajui kama Kuna changamotoUnachukuaje chumba kabla mali haijafika?
Siku hizi wanaweka za magadi 🤣Ety wanajikuta wanaweza kuiandaa future hawajui kama Kuna changamoto
Ila uzuri Kuna sabuni za ayuuuu 😂😂😂
Kuna siku nimelipia lodge tukakiwasha saa 3 hadi 5, tukatoka kwenda kutafuta msosi wakafunga geti mazima na niliwataarifu narudi.Ety wanajikuta wanaweza kuiandaa future hawajui kama Kuna changamoto
Ila uzuri Kuna sabuni za ayuuuu 😂😂😂
Kwahiyo una chumba chako lodge 😅😅😅Kuna siku nimelipia lodge tukakiwasha saa 3 hadi 5, tukatoka kwenda kutafuta msosi wakafunga geti mazima na niliwataarifu narudi.
Ni bahati nilitoka na kila kitu changu, hadi navyotype hapa nna zile funguo cha kile chumba 😂
Master safi kabisa nshawatia hasara ya kitasaKwahiyo una chumba chako lodge 😅😅😅
Hili ndilo swali linatakiwa kubeba thread!Unalipa Lodge kabla hujaona kondoo wako?
Unawapata wapi mkuu hawa wa zero risk? Maana na mm juzi nimetapeliwa hela ya nauli na hawa hawa wa mtandaoni. Uzuri ulikuwa buku 3 tu so haikuniuma sana 😂Licha ya gharama za uzinzi ila hapo kosa ni wewe kutokua na maarifa sahihi.
Ungeweza kupata manzi ya kufanya nae zinaa at zero (0) risk ya kupoteza shilling 5 yako.
Siku nyingine jifunze au uliza tuliokutangulia😂
Ah wazee wa tagged tinder na badooo oyeeee.Nina omba msamaha kwa uongozi wa CHAPUTA kwa hili kosa. Jana nimeingia kwenye app ya tagged nikapata manzi na tukaelewana bei, Sasa leo nikamcheki aje kasema nimtumie nauli, nikatuma akasema anakuja mimi nikaenda lipia lodge nimesubiri nikaona kimya nikamvutia waya.
Drama zikaanza mara ooh simu yangu inazima ya mkopo nitumie hela nilipie ila niwasiliane na ww nikiwa nakuja, machale yakagonga nikamwambia mpe boda yoyote namba angu anicall atakuleta nilipo manzi akachimba.
Dadeki lodge nimelipia pesa imeenda bure. Nilichojifunza wakuu UZINZI NI GHARAMA SANA NA TUJIFUNZE KU CONTROL HIKI KICHWA CHA CHINI.
Sasa we ulimuita mje kuimba pambio au kufanya maombi au?Hiyo tagged wanawake wote wanajiuza, nilipata mmoja tukakutana kimara mwisho tena alinielekeza akanikuta tukala bia mojamoja akaniambia tusipoteze muda lipia chumba yaani nilishangaa sana nikafanya hivyo kufika chumbani ananiuliza utanilipa sh ngapi nikamwambia subiri nitoe pesa kwa wakala mbona nilimuacha sijui alilala pale au lah