Hiyo mbona ni hela ndogo mpaka wakufanyie hivyo! Najua wanaweza kufanya ivyo kwa sababu hiyo ni kamari ila sidhani kama wanaweza kufanya ivo kwa laki na 40 elfu labda kama ingeanzia milioni 10.NIMETAPELIWA NA MERIDIAN BET - NIFANYAJE ? ? ?
Jumapili nimechagua mechi zangu kama tisa, nikazichambua weeee nikaamua kuweka (stake) 1900/=
Mara paaap baada ya kuliwa sana jana ikawa zamu yangu kuwala nikashinda 184,000/=
Nikaingia kwenye account yangu ya meridian bet nika withdraw pesa kama taratibu zilivyo na ni vilevile kama nikifanikiwa kushinda bet.
Ikaja sms ya mpesa umepokea 140,000/= na kwenye mpesa yangu ilibaki 500 hivyo salio kuu likasoma 140,500.
Imefika mda nataka kununua salio kwa mpesa naambiwa huna salio kiwango cha pesa ulichotumiwa kimerudishwa.
Nimebaki na masononeko tu sijui kama polisi nitasaidiwa au nitapoteza hela zingine
Niambien hatua za kufuata customer care ya meridian wananikatia simu.
Aliyewahi pata changamoto kama yangu alifanya nini kupata haki yake.
Acha guessing za kitoto...Vodacom waibe 140....are you out of your mindMeridian hawana longolongo cheki nao vizuri,,,hapo labda umepigwa na voda wachek pia
Pole sana mkuu,ilA unachafua brand ya kampuni wakiamua kukushitaki unaweza fungwa,ila itakuwa ni issue za kawaida utapata pesa yako.NIMETAPELIWA NA MERIDIAN BET - NIFANYAJE ? ? ?
Jumapili nimechagua mechi zangu kama tisa, nikazichambua weeee nikaamua kuweka (stake) 1900/=
Mara paaap baada ya kuliwa sana jana ikawa zamu yangu kuwala nikashinda 184,000/=
Nikaingia kwenye account yangu ya meridian bet nika withdraw pesa kama taratibu zilivyo na ni vilevile kama nikifanikiwa kushinda bet.
Ikaja sms ya mpesa umepokea 140,000/= na kwenye mpesa yangu ilibaki 500 hivyo salio kuu likasoma 140,500.
Imefika mda nataka kununua salio kwa mpesa naambiwa huna salio kiwango cha pesa ulichotumiwa kimerudishwa.
Nimebaki na masononeko tu sijui kama polisi nitasaidiwa au nitapoteza hela zingine
Niambien hatua za kufuata customer care ya meridian wananikatia simu.
Aliyewahi pata changamoto kama yangu alifanya nini kupata haki yake.
Asante kwa ushauriHiyo mbona ni hela ndogo mpaka wakufanyie hivyo! Najua wanaweza kufanya ivyo kwa sababu hiyo ni kamari ila sidhani kama wanaweza kufanya ivo kwa laki na 40 elfu labda kama ingeanzia milioni 10.
hapo wanaoweza kukusaidia ni geming board tafuta mawasiliano yao.
Asante sana kesho nitaenda ofisini voda maana kwenye simu wameniambia niwacheki meridian nisipoelewana nao ndio niende polisiCheck na VODA upate min statement yako uone kama pesa iliingia na imetumikaje lakini meridian huwa hawana shida tunatoa hadi milioni na mzigo unasoma
Hawana ofisi? Ulipiga simu mara ngapi? Mimi naona kama unatahayaruki haraka. Tuliza akili na ufuatilie bila papara.Sikujua kama naweza shitakiwa ila nawapigia simu wananikatia
Huyu amepanick tu suala lake ni dogo sana, tatizo ameshindwa kuwapata wahusika wa Meridia wamsaidie.Hawana ofisi? Ulipiga simu mara ngapi? Mimi naona kama unatahayaruki haraka. Tuliza akili na ufuatilie bila papara.