Nimesomea umeme natafuta kazi

Nimesomea umeme natafuta kazi

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,652
Reaction score
5,624
habari zenu waungwana,mie ni kijana mwenye taaluma ya umeme,nina level two,nimemaliza mwaka juzi 2013,natafuta kazi nina uzoefu wa miaka miwili,aliye tayari anipm
 
Nenda ZoomTanzania, fanya amcat test utapata matokeo na employability certificate ambayo unaweza kuambatanisha na vyeti vyako. Itakusaidia kupata kazi mapema zaidi.
 
Nenda ZoomTanzania, fanya amcat test utapata matokeo na employability certificate ambayo unaweza kuambatanisha na vyeti vyako. Itakusaidia kupata kazi mapema zaidi.

Ok,shukrani sana ngoja nijaribu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom