Nimesoma uhandisi wa dawa, natafuta kazi

As.processional
Sorry kma.ntakukwaza broo but napebda kujua ulishawahi kujiuliza kuwa hyoo professional yako ya Pharmaceutical engineering ina direct link na pharmacy profession ambayo iko chin ya pharmacy Council bro?????

Mm nakushauri kma pharmacist

AnZa hiv fika ofis za pharmacy Council ujue how you can be enrolled,enlisted or registered na kama kutakuwa na vigezo hujavifikia vya kuwa registered basi ufanye hima ukavikamilishe
Sikutishi ila nakwambia uhalisia tuu kuwa itakuwa ngumu sana kupewa ajira na taasisi yoyote inayohusika na usambazaji,uingizaji,uzalishaji,uuzaji,ufundishaji na utumiaji wa dawa ingali ww hutambuliki na pharmacy Council yaan hawawez kurisk taasisi zao kwa kukupa ajira mtu usietambulika na wizara hata vyuo havitakupa ajira maana TMDA,PCT Wote hao wakipita hapo kwny hyo taasisi unayoitumikia wakukute unajihusisha na issue yoyote ya dawa ingali huna usajili wa PCT brother adhabu yake ni.kifungo miaka 3 mpk 5 na fine juu kwa mujibu wa sheria za PCT

fanya hvyoo kwa ushauri mwingine karibu sana
 
This comment is very misleading. Nitafafanua
 
Back
Top Bottom