Nimesoma uhandisi wa dawa, natafuta kazi

Zitafute Shellys pharmaceuticals, Keko pharmaceuticals n.k. huna wenyeji hapo Dar kama wewehuyajui hayo makampuni ya madawa. Nina imani hata makampuni ya soda unaweza kufanya kazi, yatafute.
 
Habari zenu,

Mimi nimemaliza uhandisi wa chemia na pia nna master ya uhandisi wa dawa naomba msaada wenu kwenye connection za ajira ya aina yeyote.

Pia naweza kutengeneza vipodozi kwa yeyte atakaehitaji kutengenezewa formula anaweza kuntafuta hata kama umefungua kiwanda unahitaji formula.

Pia naweza kufundisha.

Ahsanteni
mkuu let's be friends..napenda kuwa na marafiki walionizidi elimu nijifunze toka kwao..Suala lako hilo si uende pale MSD MABIBO.
 
Zitafute Shellys pharmaceuticals, Keko pharmaceuticals n.k. huna wenyeji hapo Dar kama wewehuyajui hayo makampuni ya madawa. Nina imani hata makampuni ya soda unaweza kufanya kazi, yatafute.

So far nimepeleka maomba hapo shelly ,zenufa ila uwenyeji ndo tatizo
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Mkuu cheki hii sijui kama itakua within your profession
IMG_20210226_101337_713.jpg
 
Mkuu, hebu jaribu ku apply hiki iwanda kipya cha dawa cha Kairuki, kuna nafasi nyingi nyingi walitangaza, jaribu bahati yako.
Link: Job Vacancy – Kairuki Pharmaceticals Industry

Pia, kipindi hiki huwezi tafuta pesa (hata kwa support kutoka kwa wazazi, etc) hata ukaanzisha kijiwanda cha kutengeneza sanitizers kwa mfano? (Unaweza kuanzia kutengenezea nyumbani tuu), hiyo kitu (sanitizers) sasa hivi ina soko zuri tuu kwa sababu ya hili janga la COVID. Inaweza ikakupatia hela ya kula mkuu.
Pia, nicheki inbox nikupatie e mail address na namba ya Mkurugenzi wa hospitali ya rufaa ya kanda ya Mbeya, pale wana kiwanda cha kutengeneza IV Fluids na pia wanatengeneza sanitizer, na hawana mtu wa aina yako, they might be able to offer you something. Umesomea fani adimu sana mkuu, usikate tamaa utatoboa tuu.
munally14
 
Mkuu, hebu jaribu ku apply hiki iwanda kipya cha dawa cha Kairuki, kuna nafasi nyingi nyingi walitangaza, jaribu bahati yako.
Link: Job Vacancy – Kairuki Pharmaceticals Industry

Pia, kipindi hiki huwezi tafuta pesa (hata kwa support kutoka kwa wazazi, etc) hata ukaanzisha kijiwanda cha kutengeneza sanitizers kwa mfano? (Unaweza kuanzia kutengenezea nyumbani tuu), hiyo kitu (sanitizers) sasa hivi ina soko zuri tuu kwa sababu ya hili janga la COVID. Inaweza ikakupatia hela ya kula mkuu.
Pia, nicheki inbox nikupatie e mail address na namba ya Mkurugenzi wa hospitali ya rufaa ya kanda ya Mbeya, pale wana kiwanda cha kutengeneza IV Fluids na pia wanatengeneza sanitizer, wanahitaji mtu wa aina yako na hawana, they might be able to offer you something. Umesomea fani adimu sana mkuu, usikate tamaa utatoboa tuu.
munally14
@munally14
 
Thank you nakutafuta
 
Back
Top Bottom