Nimesitisha kumuombea Rais

Jiombee Mwenyewe na kuwasamehe walio kukosea
 
MKUU hayo makelele kila MTU ameyakusikia hata mungu amekusikia. SASA unamwombea laana au muda wa kuomba huna. Ukikaa unamwombea yeye anataka ufe akanunue bombardia na kukuita mvivu, mwizi nk. Ni mzalendo gani asiye na shukrani Kwa raia wake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…