Kila kitu kimesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani. Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii
RIP Kanumba
Rt Rev Masa
Mna chuki za kijinga sana. Well, hicho ndo kinachotokea anapokufa star aliyekua akipendwa na watu. Mzinifu ama si mzinifu, wewe si mwenyezi Mungu wa kuhukumu. Kaa peke yako ujiulize tena kama wewe hujawahi kutenda dhambi ndipo uhukumu wengine.
Watu waliganda kwenye tv kuangalia mazishi ya Michael Jackson lakini kwa kuwa hatupendi vya kwetu tunaponda kila kitu.
Ungekuwa na akili nzuri unge'argue kuhusu watu kutokuwa na ajira kwa kuwa si rahisi aliyeajiriwa kuacha ofisi..
Nakubaliana nawe Matola kwa kiasi fulani. Sioni lolote la maana alilofanya Marehemu Kanumba hadi anafariki ki-freemason wiki iliyopita.Namuonea huruma mtu yeyote anayetaka kuwa Rais wa nchi hii kwa dhati ya moyo wake ili kumrithi Kikwete maana anakabiliwa kuongoza Taifa lililojaa wajinga kuliko watu wenye akili timamu.
Kila kitu kimesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani. Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii
RIP Kanumba
Rt Rev Masa
Kanumba amekufa ktk harakati za kufanya ufusika na mtoto chini ya miaka 18 wakati wa kusherekea Pasaka.Mshahara wa dhambi ni mauti. Gvt ijihoji ngono umri mdogo!.Jk ana enzi ngonoKila kitu kimesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani. Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii
RIP Kanumba
Rt Rev Masa
Kila kitu kimesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani. Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii
RIP Kanumba
Rt Rev Masa
Kitendo cha Jk kushabikia msiba wa Kanumba kinaashiria kuwa anakumbatia matendo ya zinaa yanayofanywa na wasani hao na kupotosha umma .Ukimwi ulianza kusambazwa na wasani Usa na mtu wa kwanza kufa ni mchezaji wa filamu kama Kanumba.Uchafu wa ngono unaofanywa na wasani unatisha!Kila kitu kimesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani. Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii
RIP Kanumba
Rt Rev Masa
Huyu ni star wa ngono na fusika mkubwa na kuendelea kumukumbatia kwa gvt kutaleta maafa kwa TaifaHuu ni wivu au ni nini? Hii naifananisha na ile 'peoples power' huwezi kuzuia watu kumzika huyu star.na ukumbuke kuwa hakuna wito uliotolewa kwamba 'wananchi mfike kwa wingi' kama tunavyosikiaga kwenye matukio mengine.Kwa taarifa tu kama mnaona watanzania wamekosea kupoteza muda wao kwenda kumzika huyu star, hizo nchi unazozishabikia zimeendelea kwao akifa star sio tu wanapoteza muda kwenda kumzika pia wanalipa na fedha nyingi ili kuruhusiwa kuhudhuria msiba. Ukumbuke pia jana bunge lilianza vikao vyake dodoma inawezekana wengi hawajui hilo! bunge limemezwa na kanumba! Huyu mtu ki ukweli alikuwa shujaa.
Mchungaji hii ndo bongo kila mtu alikuwa na mambo yake.
Kuna jamaa angu kamdanganya mke wake eti yupo kwenye kamati ya mazishi ya Kanumba hivyo analala msibani kumbe yupo kwa kimada nilisikitika sana
Kila kitu kimesimama! Barabarani hakupitiki, watu hawafanyi kazi kisa kifo cha Steve Kanumba. Ninaangalia TV watu wengi wapo leaders kumzika SK! Hilo taifa ni la wajinga Kama viongozi wake! Watu wote Hawa walio leaders hawazalishi kitu! Taifa maskini na wananchi wake maskini vichwani. Lowassa nadhani hakuhangaika na Huu msiba wa kisanii
RIP Kanumba
Rt Rev Masa
Wasanii ni kioo cha jamii ya zinaaSK amezikwa na wale waliokuwa wanaukubali mchango wake katika jamii. Kama wewe unaona hakuwa na mchango ama hakustahili kuzikwa na watu wote hao unaweza ukaendelea na shughuli zako.
wewe ni miongoni mwa watanzania wajinga sana..Kanumba anakusaidia nini? unaacha kwenda kufanya kazi upate kuisaidia familia yako unaenda eti kuangalia kanumba anazikwa kama sio utaahira ni nini? bora angekufa kifo cha maana..kafa kwenye uzinifu..to hell with him...kwanza natashangaa sana kama padri atakuja kuendesha misa yake..anapaswa azikwe kama bata tu aliyegongwa na bodaboda
Kikwete na yeye ni msanii!90% ya waliopo hapo hawana kazi rasmi wanaishi mjini kiusanii tu kwa hiyo kwa siku ya leo hiyo ndio kazi yao. Kweli Laigwanan alivyosema kuwa tatizo la ajira ni bomu linalongoja kuripuka nimeamini leo. Hivi unaaga vipi ofisini kwako kwenda kwenye msiba wa Kanumba? Unachukua likizo ya siku moja au? Laigwanan for CCM chairman, but, not for president
Jk anaendesha nchi kisanii
Rais Kikwete akiongea na wanakamati ya msiba wa marehemu.