Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,542
- 30,108
Wolokole wote ni misukule ya wachungaji wao.....Misukule ipoo wala haihusiani na uchawi...hata wew ukimchukua mtu ukahamua kumjeuza msukule unaweza,kwanza unaanza kwa kumbrain wash......mengine yanajiset yenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Wolokole wote ni misukule ya wachungaji wao.....Misukule ipoo wala haihusiani na uchawi...hata wew ukimchukua mtu ukahamua kumjeuza msukule unaweza,kwanza unaanza kwa kumbrain wash......mengine yanajiset yenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] jamaniWolokole wote ni misukule ya wachungaji wao.....
Hujaona afu unabishaHakuna kitu kama hicho....huu ni uongo wa mchana
KESHO ASUBUHI RIPOTI KITUO CHA POLICE HARAKA,TII BILA SHURUTI.Mi nakutana nao kila siku.
Mchawi wao ni noma. Amewakata ulimi na kuwafundisha wimbo mmoja tu wa kusifu na kuabudu. VIZUU
Mimi ndio nina kwambia sasa....hakunaaaa
Asemeje ukweli kwa jambo ambalo halipo, wala halijawai kuwepo na wala halitokuja kuwepo....??
Upo sahihi kama gwajima, mzee wa upako ,mwingira walivyo wabrain wash waumin wao na kuamua kuwatapelMisukule ipoo wala haihusiani na uchawi...hata wew ukimchukua mtu ukahamua kumjeuza msukule unaweza,kwanza unaanza kwa kumbrain wash......mengine yanajiset yenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata hapo ulipo lazima wapo.
Huko unakonambia niende ndo kwa vizuu kamili mkuu. Mchawi anawaamrisha tu. Hata akiwaambia wajiue wanakubali.KESHO ASUBUHI RIPOTI KITUO CHA POLICE HARAKA,TII BILA SHURUTI.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole sana.
Mimi wa aina hiyo sijawahi ona , ila wale kijani ndio nimeona wengi sana
Sent using Jamii Forums mobile app