Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 1,000
- 1,989
Alafu Kuna mbuzi mmoja alisema ukiwajua wanawake eti siku zako za kufa zimekaribiaPole brother naona umevurugwa kweli hata kuandika vizuri imekua shida.
Tuliza akili kwanza. Wanawake kama huwajui utaishia kujiua ama kuua mtu uishie jela bure.
Kama bado hujawaelewa wanawake, achana nao, piga punyeto tu usije kufanya maamuzi ya ajabu.
Ukiwaelewa wanawake Dunia hii unaishi kwa raha sana na maisha mazuri. Usipowajua utapata shida sana.
Tuachieni sisi tunaowajua wanawake tuendelee kufaidi maisha. Achaneni na wanawake kama hamuwaelewi.
Hakuna aliyeelewa mtoa mada Yuko na hasiraaliyeelewa aelezee tafadhali
Ukilete mawenge kwa hao wa dudu unaumia bure au unakufa kabla ya wakati wako, jiulize kwanini yule bwana Marijani kule kigamboni alinunua gunia tatu za mkaa akamchoma paka akawa majivu.........sasa hivi anaozea jela "Never ever trust a woman"Unajua nimeishi na wasichana wengi na hata side wangu ni mzuri hasa ila huyu mtu wa 3 years anakila kitu cha mke mwema leo nimejua ananichola for 3 years yani nimeishiwa pozi nimesema kuzaaa au kuwa na serious relationship Tanzania au Africa mwisho leo maana nusu nimuoe unajua ndoa ya serikali nilikosa card yake tu ya nida.
Now namwona rubbish na sina replacement mwenye afadhali nimetulia nae nipige pige wee till then ni bwage
hahahaha jamaa alitisha sanaUkilete mawenge kwa hao wa dudu unaumia bure au unakufa kabla ya wakati wako, jiulize kwanini yule bwana Marijani kule kigamboni alinunua gunia tatu za mkaa akamchoma paka akawa majivu.........sasa hivi anaozea jela "Never ever trust a woman"
Jirani acha kumdanganya mwenzio, wewe mbona hujaachana nayo?Pole sana mkuu, maisha yakutese na mapenzi yakutese pia? Achana nayo
ananichola for 3 years yani
Wewe zalisha tu usije ukafa umedindisha bure watoto ukaua na watotoUnajua nimeishi na wasichana wengi na hata side wangu ni mzuri hasa ila huyu mtu wa 3 years anakila kitu cha mke mwema leo nimejua ananichola for 3 years yani nimeishiwa pozi nimesema kuzaaa au kuwa na serious relationship Tanzania au Africa mwisho leo maana nusu nimuoe unajua ndoa ya serikali nilikosa card yake tu ya nida.
Now namwona rubbish na sina replacement mwenye afadhali nimetulia nae nipige pige wee till then ni bwage
nini kumekupata mkuu?Unajua nimeishi na wasichana wengi na hata side wangu ni mzuri hasa ila huyu mtu wa 3 years anakila kitu cha mke mwema leo nimejua ananichola for 3 years yani nimeishiwa pozi nimesema kuzaaa au kuwa na serious relationship Tanzania au Africa mwisho leo maana nusu nimuoe unajua ndoa ya serikali nilikosa card yake tu ya nida.
Now namwona rubbish na sina replacement mwenye afadhali nimetulia nae nipige pige wee till then ni bwage