Nimesema kuzaa au kuwa na serious relationship Tanzania au Afrika mwisho

Kosa Ni lipi kakufanya nn uwaite Dada zetu rabish kwa miak mitatu mna enjoii tu leo rubish toa kisa kamili Mkuu uwez kupat ushaur kwa jins ulivyojitokeza kuwananga wamama bila sababu
 
Unajua nimeishi na wasichana wengi na hata side wangu ni mzuri hasa ila huyu mtu wa 3 years anakila kitu cha mke mwema leo nimejua ananichola for 3 years yani nimeishiwa pozi nimesema kuzaaa au kuwa na serious relationship Tanzania au Africa mwisho leo maana nusu nimuoe unajua ndoa ya serikali nilikosa card yake tu ya nida.

Now namwona rubbish na sina replacement mwenye afadhali nimetulia nae nipige pige wee till then ni bwage
Funguka zaidi,anakuchora vp!?
 
Usijisikie vibaya na kuanza kutoa maamuzi kwa kukurupuka.
Jitathimini kwanza wenda tatizo likawa kwenye uchaguzi wako wa wenza.
 
Pole brother naona umevurugwa kweli hata kuandika vizuri imekua shida.

Tuliza akili kwanza. Wanawake kama huwajui utaishia kujiua ama kuua mtu uishie jela bure.

Kama bado hujawaelewa wanawake, achana nao, piga punyeto tu usije kufanya maamuzi ya ajabu.

Ukiwaelewa wanawake Dunia hii unaishi kwa raha sana na maisha mazuri. Usipowajua utapata shida sana.

Tuachieni sisi tunaowajua wanawake tuendelee kufaidi maisha. Achaneni na wanawake kama hamuwaelewi.
Mkuu ukipata time andaa mada kuhusu unavowajua wanawake ..uzidi kutufungua akili
 
Unajua nimeishi na wasichana wengi na hata side wangu ni mzuri hasa ila huyu mtu wa 3 years anakila kitu cha mke mwema leo nimejua ananichola for 3 years yani nimeishiwa pozi nimesema kuzaaa au kuwa na serious relationship Tanzania au Africa mwisho leo maana nusu nimuoe unajua ndoa ya serikali nilikosa card yake tu ya nida.

Now namwona rubbish na sina replacement mwenye afadhali nimetulia nae nipige pige wee till then ni bwage
We men..we always think that we are dating angels or a supermarket that we can get all we want....And we are too feeble to notice our shortcomings
 
Unajua nimeishi na wasichana wengi na hata side wangu ni mzuri hasa ila huyu mtu wa 3 years anakila kitu cha mke mwema leo nimejua ananichola for 3 years yani nimeishiwa pozi nimesema kuzaaa au kuwa na serious relationship Tanzania au Africa mwisho leo maana nusu nimuoe unajua ndoa ya serikali nilikosa card yake tu ya nida.

Now namwona rubbish na sina replacement mwenye afadhali nimetulia nae nipige pige wee till then ni bwage
Dan D imekuaje kaka?! Mbona hueleweki?🤣🤣
 
Hawa dada zetu wamekuwa wa ovyo sana siku izi yani kugawa papuchu na uongo ndio imekuwa sifa zao. Nishatumiwa bill ya hospital almost 300k aisee kumbe demu kaenda kuflash mimba ya jamaa alafu nilipe mimi, sometimes ukifikiria unaweza kukata tamaa na kuwachukia kabsa lakini life goes on and it has either with or without them.

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom