Nimesema kuzaa au kuwa na serious relationship Tanzania au Afrika mwisho

Danielmwasi

JF-Expert Member
May 3, 2021
964
1,877
Unajua nimeishi na wasichana wengi na hata side wangu ni mzuri hasa ila huyu mtu wa 3 years anakila kitu cha mke mwema leo nimejua ananichola for 3 years yani nimeishiwa pozi nimesema kuzaaa au kuwa na serious relationship Tanzania au Africa mwisho leo maana nusu nimuoe unajua ndoa ya serikali nilikosa card yake tu ya nida.

Now namwona rubbish na sina replacement mwenye afadhali nimetulia nae nipige pige wee till then ni bwage
 
Pole brother naona umevurugwa kweli hata kuandika vizuri imekua shida.

Tuliza akili kwanza. Wanawake kama huwajui utaishia kujiua ama kuua mtu uishie jela bure.

Kama bado hujawaelewa wanawake, achana nao, piga punyeto tu usije kufanya maamuzi ya ajabu.

Ukiwaelewa wanawake Dunia hii unaishi kwa raha sana na maisha mazuri. Usipowajua utapata shida sana.

Tuachieni sisi tunaowajua wanawake tuendelee kufaidi maisha. Achaneni na wanawake kama hamuwaelewi.
 
Alafu Kuna mbuzi mmoja alisema ukiwajua wanawake eti siku zako za kufa zimekaribia yule mpuuzi bwege Sana anataka tuendelee kushikiwa mateka na wanawake... Ni kweli Kama usemavyo wanawake ukiwajulia unateleza tu.....na ukitaka kumtawala meanamke tumia akili yako sio moyo
 
Pole Sana ,Sasa amekufanyaje Tena huyo "mtu wa 3 years" Hadi uamue kumpiga piga then ubwage?
 
Unajua nimeishi na wasichana wengi na hata side wangu ni mzuri hasa ila huyu mtu wa 3 years anakila kitu cha mke mwema leo nimejua ananichola for 3 years yani nimeishiwa pozi nimesema kuzaaa au kuwa na serious relationship Tanzania au Africa mwisho leo maana nusu nimuoe unajua ndoa ya serikali nilikosa card yake tu ya nida.

Now namwona rubbish na sina replacement mwenye afadhali nimetulia nae nipige pige wee till then ni bwage
Ukilete mawenge kwa hao wa dudu unaumia bure au unakufa kabla ya wakati wako, jiulize kwanini yule bwana Marijani kule kigamboni alinunua gunia tatu za mkaa akamchoma paka akawa majivu.........sasa hivi anaozea jela "Never ever trust a woman"
 
hahahaha jamaa alitisha sana
 
Unajua nimeishi na wasichana wengi na hata side wangu ni mzuri hasa ila huyu mtu wa 3 years anakila kitu cha mke mwema leo nimejua ananichola for 3 years yani nimeishiwa pozi nimesema kuzaaa au kuwa na serious relationship Tanzania au Africa mwisho leo maana nusu nimuoe unajua ndoa ya serikali nilikosa card yake tu ya nida.

Now namwona rubbish na sina replacement mwenye afadhali nimetulia nae nipige pige wee till then ni bwage
Wewe zalisha tu usije ukafa umedindisha bure watoto ukaua na watoto
 
Unajua nimeishi na wasichana wengi na hata side wangu ni mzuri hasa ila huyu mtu wa 3 years anakila kitu cha mke mwema leo nimejua ananichola for 3 years yani nimeishiwa pozi nimesema kuzaaa au kuwa na serious relationship Tanzania au Africa mwisho leo maana nusu nimuoe unajua ndoa ya serikali nilikosa card yake tu ya nida.

Now namwona rubbish na sina replacement mwenye afadhali nimetulia nae nipige pige wee till then ni bwage
nini kumekupata mkuu?
funguka/ toa ushuhuda tujifunze.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom