NIMERUDIA UJINGA.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Daah
Ni nini hiki
hapo pa kutupa pedi ikanasa ukutani looh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] swaga za kibaharia hizo
 
Naww huku kwenye ped kunasa kwenye ukuta unatafuta nn? [emoji23][emoji23]
Baharia katapeliwaa hajala mzigoo... Hiyo hela angetupa tukamtest kanji tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kulazimisha penzi, ni sawa na kulazimisha fani kisha unaleta utani...

Muache atavua mwenyewe, wala usimlazimishe...


Cc: mahondaw
 
Aisee baharia hapo umezingua mm kuna demu alizingua miaka miwili bila kunipa game lakin nilitumia akil sana mwisho wa siku aliniambia mwenyew nipange siku nile mzgo na demu bado alikuwa bikira sas wew tumia nguvu uone
Ulitumia mbinu gani mkuu .hata wangu anasemaga bado bikira
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…