Nimepunguza bei ya unfinished house hii

Nimepunguza bei ya unfinished house hii

LIGANGALEO

Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
19
Reaction score
1
Wadau

Nimetoka Jimboni kufanya Survey ya jinsi ya kuzungukia Kata zote mwakani.
Kwa kweli nahitaji Hard Top maana Kata zipo Milimani sana na ili kulitoa Gamba sina budi kuweka kambi na kuzungukia Kata zote.
Na kwa kuwa nina utaalamu na magari, ni Hard Top tu ndio inayoweza kukamilisha azma hiyo. Hivyo imenibidi nipunguze bei ya nyumba hii (Unifinished House) ili nipate pesa haraka iwezekanavyo.

Bei ya sasa ni Ml. 95

Nyumba ina hati na ipo Madale, Dar es Salaam. Ramani ya Nyumba ni Ghorofa moja ikiwa na Lounge, Kitchen, Store, Lobby, Pantry na Chumba kimoja chini chenye choo na bafu ndani pamoja na Public Toilet ya kawaida kwa wageni.
Ramani ya juu kuna VIP Lounge,Study Room, Master Bed Room na vyumba vingine viwili vinavyojitegemea kwa choo na bafu. Ukubwa wa eneo ni Square Meter 1203. Servant Quarter kwa ajili ya mlinzi imekamilika kama inavyonekana.

Wanajamvi karibuni.

0713 81 08 03
 

Attachments

  • DSC01208.JPG
    DSC01208.JPG
    49.7 KB · Views: 264
  • DSC01205.JPG
    DSC01205.JPG
    46.6 KB · Views: 238
  • DSC01207.JPG
    DSC01207.JPG
    30.6 KB · Views: 229
Back
Top Bottom