Myahudi93
Senior Member
- Nov 8, 2019
- 101
- 96
Aseeee swala la "baby nina mimba yako" sio la kulikurupukiaTeh!
Aseeee swala la "baby nina mimba yako" sio la kulikurupukiaTeh!
Aisee pole sana.Aseeee swala la "baby nina mimba yako" sio la kulikurupukia
Inahitaji moyo hawa viumbe sio wa kuamini hata sekunde, watakwambia una mtoto kumbe unahudumia mtoto wa msela mwingine Qmmke, ndo maana mtoto wa nje huwa ata niambiwe anaumwa anataka kufa huwa sishitukiMimi ilinitokea tulikua tunahudumia wanaume watatu ila mwanamke alikua bado anaishi kwao lakini mtoto alipokufa ndo nikajua ivo mana siku ya msiba kuna mama alisafiri akaja kwny msiba akasema mwanae ameshindwa kuudhuria msiba wa mwanae sababu kaenda masomoni, wafikwa wa msiba pale kwa mwanamke walistaajabu inakuwaje uyu mama anaongea hivi mbona mwenye mtoto yupo eneo la tukio na kashiriki hatua zote.Naomba niishie hapa..............
Kabila moja la ule mkoa wa 'walandizi' nasikia wana hii tabiaMwenyewe kuna demu kajifungua juzi tunahudumia wawili koo sikutaka hata kuuliza jina la kadi.
Koo hapo mmoja lazima atalia badae mm au mwenzangu
Khaa hatari sana..Ndugu, wewe unaumia mwaka mmoja tu? Mimi nilihudumia hadi akafika form six ndio nikajua. Hata leo akiniomba hela huwa ninamtumia.
Kawaida sana katika maisha, siumii wala sijutii, na mtoto ananipenda na kunijali zaidi mimi kuliko baba yake mzazi.Khaa hatari sana..
Baba wa mtoto sijawahi kuongea nae hata siku moja, na wala sina cha kuongea nae. Wanawasiliana na mtoto tu.Je baba wa mtoto inamaana mliyajenga mmh mama ndiye alikwambia mtoto sio wakwako miaka yote hiyo
Huyu jamaa anasema kweli maana mwanzo kabla hajasema hili aliulizia kuhusu DNA ya asili na mie nilijua tu kuwa keshapigwa na kitu kizito kichwaniYan Hili jukwaa Lina story Hiv mnapateje mda wa kutunga cha kuandika
Binti kama anakuheshim hakuna tatzo broooKawaida sana katika maisha, siumii wala sijutii, na mtoto ananipenda na kunijali zaidi mimi kuliko baba yake mzazi.
Baba wa mtoto sijawahi kuongea nae hata siku moja, na wala sina cha kuongea nae. Wanawasiliana na mtoto tu.
Binti gani? Huyo mtoto ni wa kiume.binti kama anakuheshim hakuna tatzo brooo