Nimeperuzi blogs zake, Twitter na Facebook page kuanzia miaka 3 iliyopita sijaona neno ,Pole Lissu, R.IP mawazo, Bring back Ben saa nane,

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Kumbe Leo kwako kesho kwa mwingine, tuwe makini, unaweza uka mute juu ya suala fulani au pengine kulifurahia kimoyo moyo ukadhani haliwezi kukufika, tujifunze,

Nimeperuzi page zake zote, kwenye mitandao ya kijamii, sijaona sehemu yeyote aliyoandika
1.Bring back saa nane
2. Bring back Azory
3.R.I.P Alphonce Mawazo,
4. Au pole Lissu,

Kumbe alikuwa anafuata yeye,

Tahadhari : Usimwamini mtu, usipuuzie ujumbe wa vitisho, boresha ulinzi, maana ijayo inaweza kuwa wewe, haijalishi ni CCM, CUF, CHADEMA AU ACT

Britannica
 
Hili nalo neno
 
Lissu alivyosema hakuna aliyesalama mlimbeza na kuona ni kauli ya kisiasa tu.

Ila ukweli umejulikana sasa.

Kukaa kimya nako huwa hakusaidiagi.
Jana nimemsikia waziri moja eti wataweka CCTV kwenye ma jiji !!!!. Wakati Dodoma walizing'oa?!

Binaadamu wote ni sawa
Tunazaliwa, tunavuta hewa wote na tunakufa wote. Hata watesi, wachawi na waungwana tunapita humo humo.
 
Lissu alivyosema hakuna aliyesalama mlimbeza na kuona ni kauli ya kisiasa tu.

Ila ukweli umejulikana sasa.

Kukaa kimya nako huwa hakusaidiagi.
Tuondolee mambo ya lissumsaliti hapa walahi
 
Tuondolee mambo ya lissumsaliti hapa walahi
Jinyonge kama hutaki kusiikia jina la Lissu we pepo. Tofautisha public interest na person interest.Awamu hii ni ya viongozi wenye personal interest yyt anayeenda kinyume na ufedhur wao ni msaliti!!!!!Kumbuka hata Idd Amin alikua anaua watu kwa kisingizio cha uzalendo kwamba waliompinga hawakua wazalendo!
 
Back
Top Bottom