Wanajanvi, Mungu akipenda basi nitawakilisha Bunge la Katiba, jina langu ni moja ya majina yaliyopendekezwa na kundi langu kuwakilisha. Hivyo nikiwa kama mwanajf naomba sala zenu na hata ikibidi matambiko ya kimila ili niweze kuingia na kutetea masilahi mapana ya watanzania, niwaahidi tu nikifanikiwa msimamo wangu juu ya Muungano utakuwa ni wa serikali 2 huru kwanza na suala la Muungano litajadiliwa na nchi husika zikiwa huru na kama itaonekana kuna umuhimu basi tutaungana baadae, hakuna haja ya kulazimisha kuungana kama kuna pande haitaki na ikibidi basi tutaungana na Zanzibar katika shirikisho la Afrika mashariki zikiwa nchi huru.
Hongera mkuu, ila mi nilidhani unaenda wakilisha mawazo ya kundi lilo kutuma (wananchi) kumbe unaenda wakilisha na kutetea msimamo wako? I am lost!
Wanajanvi, Mungu akipenda basi nitawakilisha Bunge la Katiba, jina langu ni moja ya majina yaliyopendekezwa na kundi langu kuwakilisha. Hivyo nikiwa kama mwanajf naomba sala zenu na hata ikibidi matambiko ya kimila ili niweze kuingia na kutetea masilahi mapana ya watanzania, niwaahidi tu nikifanikiwa msimamo wangu juu ya Muungano utakuwa ni wa serikali 2 huru kwanza na suala la Muungano litajadiliwa na nchi husika zikiwa huru na kama itaonekana kuna umuhimu basi tutaungana baadae, hakuna haja ya kulazimisha kuungana kama kuna pande haitaki na ikibidi basi tutaungana na Zanzibar katika shirikisho la Afrika mashariki zikiwa nchi huru.
Ni kweli ila ukianza tutangazia msimamo wako, nasisi tulio upande wa pili, siyo kwamba hata tukikupa maoni yetu itakuwa sawa na kutwanga maji kwenye kinu kwa vile wewe unamsimo wako tayali?ni kweli naenda wakilisha maoni wa walionituma ila na mimi siendi kama debe tupu nami pia nina yangu.
ni kweli naenda wakilisha maoni wa walionituma ila na mimi siendi kama debe tupu nami pia nina yangu.
Kisebengo mkubwaa! Yaani unataka uturudishe kwenye mfumo wa kijizi wa serikali 2? No! No! No!x 1,000,000,000,000. Nenda kawaambie waliokutuma na wewe umekwama kama alivyokwama ZZK.