Nimepata Vision: Hispania Bingwa World Cup 2026

Jerry001

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2020
Posts
1,622
Reaction score
3,841
Bingwa World Cup 2026 ni Hispania. Hawa madogo ni wapambanaji. Wameruhusu goli moja tu mpaka sasa. Sioni Ufaransa akitoboa.

Aje Uingerea au Argentina fainali atakalishwa tu. Hayo ni maono yangu. Sijawahi kukosea.

Timu Ronaldo na Timu Messi kafieni mbele huko. Spain Bingwa WC 2026. Tukutane 2030
 
Hz ni shobo. Je ulikua wapi kabisa mwanzo wa mashindano?
Kazi ni kipimo cha utu
 
Bado hamuamini nyinyi mnaoshabikia wazee. Zama za vijana hizi
 
imeisha!
 
Spain anachukua ubingwa leo. Tuwapumzishe wazee Messi na Ronaldo.

Hiki ni kizazi cha Mbappe, Yamal, Halaand n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…