Uclogwe, Mm Nakumbuka Kuna Email Ilingia Kwangu Na Kuniomba Nijaze Form Kisha Ni2me, Nikafanya Hivyo Muda Kidogo Waka2ma Nyingine Ikicma Ni2me Add Ya Uanachama Shl 100,000\= Kwa Ku2mia Mpesa Au Tg Pesa Nikaona Hawa Ni Mapapeli Muda C Mrefu Nikapigiwa Cmu New Namba Ikisema 2na Kusubiri U2me Hela Ili Wanisaili Nikajua Hawa Ni Wezi Wa Mtaani, Xo Uclogwe U2me Ac Namba Yako Utalia Ndugu.