Yelawolf49
Member
- Sep 20, 2017
- 73
- 65
Maliza shule kwanza ili cheti kikusaidiee mbeleni
Nenda kiongozi, mazoezi ya kijeshi yanafanywa kwa hatua na kwa kufuata utaratibu nadhani hakuna utakachoshindwa kama kweli una nia. Ila nidhamu ndo kila kitu uwapo mafunzoni.Habari, niko curious kwenda jeshi kuna entail nini naskia story kitaa pple scare the living hell out me. Kimazoezi siko vizuri my body iko on the plus side sikuwahi kuwaza kwenda jeshi lakini niko semester ya mwisho chuo nachukua bsc ya computer science. Im an ophan so inabidi ni mingle na kuomba chances maana soko la ajira we all know liko vipi nikapata hii chance sasa my curiosity ni maisha ya mafunzo yakoje mtu mnene kuna hope za kutoboa ? au nisake other opportunities maana sijawahi hata kwenda jkt sikua drafted. Anything well be helpful asanteni
Chuo atamalizia hata baadaeMaliza shule kwanza ili cheti kikusaidiee mbeleni
mzee mirambo tabora kuna kibangala bado kinapigwa nua. kinahitimu mwez wa 10Heheh labda uende Jkt la kujitolea maana kozi ya u private imeisha juzi,subiri kibangala kingine mwezi wa kumi huko...ila jkt kujitolea bora umalize chuo tu
Cha baka baka au karanga karanga/jkt...jkt wakimaliza wajenge ukuta ndo waitwe tpdf au wakishua anaitwa tu huko juu moja kwa mojamzee mirambo tabora kuna kibangala bado kinapigwa nua. kinahitimu mwez wa 10
tp mzeeCha baka baka au karanga karanga/jkt...jkt wakimaliza wajenge ukuta ndo waitwe tpdf au wakishua anaitwa tu huko juu moja kwa moja
Hapo safi tp naikubali sana ila ubaya mi nakufuata sheria/orders ndo haiwezekani,nilivyombishi nitapinga tutp mzee
The gud thing reporting date ni oct chuo ntakua nimekamilisha ni tokeo tuuMaliza shule kwanza ili cheti kikusaidiee mbeleni
Ntakua nimekamilisha chuo siku ya kuripotiMaliza shule kwanza ili cheti kikusaidiee mbeleni
tupeane michongo basiNtakua nimekamilisha chuo siku ya kuripoti
ushawahi kukaa kikosin hata week moja tu?? hyo akili ya ubish watu huwa wanaiachaga getini mzeeHapo safi tp naikubali sana ila ubaya mi nakufuata sheria/orders ndo haiwezekani,nilivyombishi nitapinga tu