we umeshasema haitumii line halafu unataka kuweka line yako huoni unataka kufanya kitu cha hatari ????
chakufanya install mordem yako halafu nunu vocha ya zantel ya buku recharge weka vocha jipijie simu utajua namba yake
na pia utaijua kama hiyo mordem ni nzima ? na kama ni mzima basi mwenye mordem alii angusha bahati mbaya na kama
ni mbovu basi ujue mwenzako aliona ni takataka kuweka ndani akatupa nje na wewe umeona uokote takataka nje unaleta ndani itakuwa kama wale waganga wa kienyeji kila akionacho anaokota anaona kitamfaa kwenye kazi zake
usikonde mwana jaribu inaweza kuwa bomba hayo ni maneno tu hata kwenye kanga yapo