Ya kaisari mwachie kaisari yaliyo ya Mungu mwachie Mungu mtumishi.Wakuu...
kuna ki mia mbili cha slots kimeandikwa
Tanzania nimedodosa dodosa wamenambia nicha kwenye bonanza...
Hapa nikienda kufanya exchanga napata hata shingapi?
Nb. Mimi mzaburi sichezagi mabonanza na kukitupa sitaki maana siwezi tupa hela japokuwa niya ubatili.
Wewe ni msambaa eeeWakuu...
kuna ki mia mbili cha slots kimeandikwa
Tanzania nimedodosa dodosa wamenambia nicha kwenye bonanza...
Hapa nikienda kufanya exchanga napata hata shingapi?
Nb. Mimi mzaburi sichezagi mabonanza na kukitupa sitaki maana siwezi tupa hela japokuwa niya ubatili.
Nenda kachukue mabilioni yako casino yoyote, hizo ndizo hutumika kama mbadala wa pesa humo kasinoHapana mkuu... achana na wasambaa nipe mwongozo kama unajua about this issue!
Mbona huku kwetu wachungaji wanabeti na wanakaa na mikeka mzabauniHahahhhh mkuu sitapungukiwa na kitu... BWANA ndiye mchungaji wangu. inaonekana huku mbeya watu wanabet sana
Umemjuaje halafu ana mwandiko kama wa Mzigua_255Wewe ni msambaa eee
Huyu atakuwa ni Mpare. Wasambaa hatuna njaa.Wewe ni msambaa eee
Au sioMkuu wala mimi sio mlokole naipenda tu
Zaburi 23 hua ina ni tia moyo sana
Wapare hatutaki vya bure 😎Huyu atakuwa ni Mpare. Wasambaa hatuna njaa.