Ungeweka jina la mhusika ingependeza zaidi. Jamaa na marafiki watasaidia kumfikishia ujumbe kama mwenyewe hajaona. Ubarikiwe mkuu.Habari za jioni wapendwa kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimeokota bahasha yenye vyeti vya mtu vyeti vyenyewe ni vya kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu pamoja na vyeti vya kuzaliwa sasa sijui nifanyeje ili mwenyewe awezeaweze kuvipata mawazo yenu please
Choma moto
Habari yako bado haijajitosheleza kusaidia aliye vipoteza kuvita.Habari za jioni wapendwa kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimeokota bahasha yenye vyeti vya mtu vyeti vyenyewe ni vya kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu pamoja na vyeti vya kuzaliwa sasa sijui nifanyeje ili mwenyewe awezeaweze kuvipata mawazo yenu please
Gone gud Mimi nimepoteza vyeti vyangu kuanzia leaving certificate ya LA saba ,,,chuo chakuzaliwa cha form four Na six Na vilikua mwenye bahasha ...... Naomba Ku contact Na ww ...namba vyangu ni 0768432820...pls naomba tuwasiliane.... Naitwa FAIZat Na ntakuja Na vitambulisho zangu... Rafiki yangu kanitumia hili tangazo....plsssssssHabari za jioni wapendwa kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimeokota bahasha yenye vyeti vya mtu vyeti vyenyewe ni vya kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu pamoja na vyeti vya kuzaliwa sasa sijui nifanyeje ili mwenyewe awezeaweze kuvipata mawazo yenu please
Gone gud Mimi nimepoteza vyeti vyangu naomba tuwasiliane 0768432820 kuanzia lasaba mpka vya chuo....Habari za jioni wapendwa kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimeokota bahasha yenye vyeti vya mtu vyeti vyenyewe ni vya kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu pamoja na vyeti vya kuzaliwa sasa sijui nifanyeje ili mwenyewe awezeaweze kuvipata mawazo yenu please
Nisaidie jinsi ya kuwasiliana Na Gone gud nimepoteza vyeti mm....Ungeweka jina la mhusika ingependeza zaidi. Jamaa na marafiki watasaidia kumfikishia ujumbe kama mwenyewe hajaona. Ubarikiwe mkuu.
Kuweka hapa No huoni ni hatari kwa Manyang'au ya JF, usipanik utavipata.Gone gud Mimi nimepoteza vyeti vyangu naomba tuwasiliane 0768432820 kuanzia lasaba mpka vya chuo....
Peleka kituo cha polisi man, huwezi jua hivyo vyeti vilipotea katika mazingira gani.Ahsanteni kwa ushauri wakuu nataka nivipeleke redioni