Nimeoa leo tarehe

kwa hiyo kuanzia leo unakula papuchi kihalali mkuu?
 
Asanteni sana wakuu.

Mungu awabariki sana
 
Kwenye huo "uchumba wa muda mrefu" mlikuwa "mnakulana?" Kama ni NDIO basi ulishaoa kabla ya leo
 
hongera, karibu kwenye chama chetu. cheti kwanza, mtihani baadae...hahahahahahahaha!
 
Mie kijana wa kiume mwenye miaka kadhaa. Nimemuoa mchumba wangu wa mda mrefu wa kike.

Naomba Mungu utubariki katika ndoa yetu.

Amen.
Kumbe una mchumba mwengine wa kiume ee?

Nae utamuoa lini sasa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…