Nimefuatilia video ya ajali hii, inaonekana abiria badala kuondoka haraka kwenye ndege, baadhi walikuwa wanachukua mabegi yao kutoka kwenye compartments za ndege, hadi dada muhudumu akawa anawafokea wafanye upesi kutoka. Mleta mada hajaongelea hili.
Hiyo nayo ameiongelea ila ametupiga tena fix kwamba vyote viliungua mpaka simu zake za Free dutyNimefuatilia video ya ajali hii, inaonekana abiria badala kuondoka haraka kwenye ndege, baadhi walikuwa wanachukua mabegi yao kutoka kwenye compartments za ndege, hadi dada muhudumu akawa anawafokea wafanye upesi kutoka. Mleta mada hajaongelea hili.
Hatakama ni airport fikiria hiyo ni emergency on the spot anapatikana vipi pastors na mashehe kutoa huduma za kiroho wameshaandaliwa tayari that's too low wadanganye rika lako.Mkuu hujamwelewa hapo kwa viongozi wa dini.sio kwamba walikuwa kwenye ndege ao walikuwa sehemu ambayo manusura walipowekwa baada ya kuokolewa.
Mi mwenyewe na mashaka na stori lakini iyo hoja yako nyepesi mno.
Mkuu unajuwa "Procedure" za Emergency eneo la Airport?Google tu hata "Emergency drill on Airport" utapata uelewa.Hatakama ni airport fikiria hiyo ni emergency on the spot anapatikana vipi pastors na mashehe kutoa huduma za kiroho wameshaandaliwa tayari that's too low wadanganye rika lako.
KkkkkkkkkkkkkkkPole sana bro
Kwa hakika ni jambo la kumshukuru Mungu sana badala ya kuwa hpo five star hotel ungekuwa ten star mbingun
The Rev. James Devine, a Catholic priest who is one of three full- time chaplains at John F. Kennedy Airport in New York, said the airport's priest, rabbi and Protestant minister were joined by several other clergics in counseling those bereaved by the TWA Flight 800 crash. They said Mass and conducted services at the terminal and at the Marriott hotel where victims' families stayed.Hatakama ni airport fikiria hiyo ni emergency on the spot anapatikana vipi pastors na mashehe kutoa huduma za kiroho wameshaandaliwa tayari that's too low wadanganye rika lako.
Hoja yako nyepesi sana,wako wahindi wengi sana wanaongea na kuandika Kiswahili fasaha,Prof Shivji ni miongoni mwao.Harudi tena humu..... huyu muhindi gani anaandika kiswahili kimenyooka!!?
Meeting Spiritual Needs Of Airport Disaster VictimsKwenye mazingira kama hayo ya ajali hakuna mambo ya kukaa na kusali. Kazi huwa ni moja tu ya uokoaji kwani mazingira huwa sio salama.
Sasa mkuu kwanini unaquote uzi mzima ma kuandika herufi 12 mkuu? InachoshalPole sana mkuu
acha dhambi.
"May day may day" hiyo siyo emergency landing mkuu. "may day" ni habari nyingine kabisa....
Mbona Tanzania haijatajwa abiria wake! We we ni wa taiga gani?Pole Isupilo, kwani wewe raia wa nchi gani? Naona kwenye orodha hii ya abiria flight EK521 hamna Mtanzania.
Utaalamu huu unafikiri toka tumeanza kudadisi habari hatukuujuwa?Kuna vitu vya kutazama...hii yako usipoteze muda,tulishaonaHizi ni fix za mchana kweupe kwa sababu kama hiyo picha ya mandhari ya hoteli ilipigwa miaka minne iliyopita yaani;
Tarehe 25-01-2012
Saa 03:41 sekunde ya 57 Dubai
Miaka 4 miezi 6 siku 10 dakika 41 sek 31 zilizopita mpaka nachunguza usiku huu.
Aina ya kifaa: Apple computer Inc
Hiyo Hotel inaitwa Millenium Airpot Hotel
Na hiyo picha yenye kitanda ngoja nakuja
Nilipata mashaka na nikadhani huenda sipo sahihi, nikasema nijiridhishe kwa namna nyingine na nikajikuta nipo kudadisi picha kama kweli alizipiga juzi!Utaalamu huu unafikiri toka tumeanza kudadisi habari hatukuujuwa?Kuna vitu vya kutazama...hii yako usipoteze muda,tulishaona