1.Umekinunua wapi?
2.Umenunua bei gani?
3.Vipi inakibegi chake cha kuhifadhia na kuweza kukining'iniza kiunoni au waliokuuzia wamekupa maelekezo yapi?
4.Kina charge voltage kiasi gani na unakichaji masaa mangapi,pia kinakaa na charge mda gani?
#saidia kujibu haya maswali๐ค
Kwa swali lako wewe miliki tu, unaruhusiwa au huruhusiwi itafahamika mbele ya safari, vitu vipya kama hivyo huwa sheria inafata baada ya kuwazimisha wakuda kadhaa๐๐๐